KUHUSU SISI

Chuo cha Ufundi Ifunda Mission kilianzishwa mwaka 1995 chini ya Muasisi wake Hayati Fr. Alfons Mhamilawa (Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina). Fr. Alfons alipata wazo la kuanzisha chuo cha ufundi baada ya kuona wasichana wengi wanakosa fursa ya kusoma au kutopata nafasi za kuendelea na masomo zaidi. Hivyo.... Soma zaidi >>

Our Mission

 • Being a committed and hardworking team of people that work together to build our school.
 • Introducing quality business that assist in making a profit for the school in order...
 • Read more >>

Core Values

 • Creativity
 • Hardworking
 • Team work
 • Transparency
 • Integrity
 • Honesty

Our Vision

  Providing quality education and training so that all its student are either employed in decent jobs or are competent enough to open their own successful business...
  Read more >>

KOZI ZITOLEWAZO

Tunatoa mafunzo katika kozi mbalimbali za ufundi zilizoainishwa hapa chini.

Ushonaji nguo

(Design Sewing and Cloth Technology)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii...
Soma zaidi >>

Uungaji vyuma

(Welding and Metal Fabrication)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii...
Soma zaidi >>

Teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT)

(Information and communication Technology)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii Soma zaidi >>

Useremala

(Carpentry and Joinery)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii...
Soma zaidi >>

Umeme wa majumba

(Electrical installation)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii...
Soma zaidi >>

Uashi

(Masonry)
Vigezo vya kujiunga na kozi hii...
Soma zaidi >>

DIRA

Kutoa elimu na mafunzo bora ili kuwawezesha wanafunzi wetu wote wanaohitimu kuajiriwa katika nafasi mbalimbali za kazi zinazoendana na taaluma zao na pia kinawajengea uwezo wa kutumia fani zao kujitengenezea fursa mbalimbali za ajira binafsi zenye mafanikio.

WASILIANA NASI

ALBAMU YA PICHA